Saturday, 2 July 2016

Futa haya ili kuwa na Whatsapp mbili kwenye simu moja(Two whatsapp accounts on one a

 
1.Unistall Whatsapp ya mwanzo kabisa(official one) then unaenda kwenye folder la whatapps una edit na kuwa OGwhatsapp
2.Nenda kwenye playstore then download OGWhatsapp kama haujaikuta kuna link nimeiweka chini idownload manually uinstall
3.Register old number yako(uliyokuwa unaitumia mwanzo) kwa OGwhatsapp ,baada ya kumaliza njoo step ya 4
4.Install Official Whatsup(ile uliyo-unistall) then register na hiyo namba ya pili unayotaka kutumia kwenye device moja


Hapo utakuwa ushamaliza na very easy,mie nimeinstall natumia namba mbili kwenye simu moja

Media Fire Link

http://www.mediafire.com/download/0ieixecarzlwed5/OGWhatsApp+v2.11.432%282%29.apk

 Note:This for Android Users with Duos Handsets

0 comments: